Hifadhi ya Debian
Ninaweza kutumia APT juu ya Tor?
Ndio, deb.torproject.org
pia huhudumiwa kupitia Onion Service: http://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/
Kumbuka Alama # inarejelea kuendesha msimbo kama root. Hii inamaanisha unapaswa kupata akaunti ya mtumiaji iliyo na haki za usimamizi wa mfumo, yaani, mtumiaji wako anapaswa kuwa kwenye kikundi cha sudo.
Kutumia Apt dhidi ya Tor, usafirishwaji wa apt unahitaji kusanikishwa:
# apt install apt-transport-tor
Halafu unapaswa kuongeza maagizo yafuatayo katika /etc/apt/sources.list
or a new file in /etc/apt/sources.list.d/
:
# Kwa toleo imara.
deb [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] tor+http://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/torproject.org <DISTRIBUTION> main
# Kwa toleo lisilo imara.
deb [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] tor+http://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/torproject.org tor-nightly-main-<DISTRIBUTION> main
Badili <DISTRIBUTION>
kwa mfumo wako wa uendeshaji codename. Run lsb_release -c
or cat /etc/debian_version
kwa kuangalia toleo la mfumo wa uendeshaji.
Since Debian bookworm you can also use the more modern deb822-style:
# echo "\
Types: deb deb-src
Components: main
Suites: bookworm
URIs: tor+http://apow7mjfryruh65chtdydfmqfpj5btws7nbocgtaovhvezgccyjazpqd.onion/torproject.org
Architectures: amd64 arm64 i386
Signed-By: /usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg
" | sudo tee /etc/apt/sources.list.d/tor.sources
Why and how can I enable Tor Package Repository in Debian?
Tor project hudumisha Debian package repository. Kwa kuwa Debian hutoa toleo la Tor, hii inaweza isikupe toleo jipya la Tor lililo thabiti. Kwa hiyo, inashauriwa kusanikisha tor
kutoka katika hazina yetu.
Hivi ndivyo unaweze kuwezeshasha hifadhi ya vifurushi vya Tor katika usambazaji wa misingi ya Debian:
Kumbuka Alama # inarejelea kuendesha msimbo kama root. Hii inamaanisha unapaswa kupata akaunti ya mtumiaji iliyo na haki za usimamizi wa mfumo, yaani, mtumiaji wako anapaswa kuwa kwenye kikundi cha sudo.
Sharti: Thibitisha usanifu wa CPU
Hazina ya kifurushi inakupa baniries amd64
, arm64
, and i386
. Kuthibitisha mfumo wako wa uendeshaji una uwezo wa kuendesha binary kwa kukagua matokeo ya command zifuatazo:
# dpkg --print-architecture
Inapaswa kutoa ama amd64
, arm64
, or i386
. hifadhi haiwezeshi usanifu wa CPU ingine.
Kumbuka: Hifadhi ya kifurushi haitoi usanifu wa 32-bit ARM (armhf
) picha (yet). Utapaswa kusanikisha toleo la Debian (Hakikisha umeangalia Debian backports, pia, kwani hiyo mara nyingi huwa na kifurushi cha kisasa zaidi cha Tor), au jenga Tor kutoka kwa chanzo.
1. Sanikisha apt-transport-https
Kuwezesha usimamizi ea vifurushi kwa kutumia libapt-pkg library ili metadata na vifurushi vinavyo patikana katika vyanzo vinavyoweza kufikiwa https (Hypertext Transfer Protocol Secure).
# apt install apt-transport-https
2. Tengeneza faili jipya katika /etc/apt/sources.list.d/
named tor.list
. Na ongeza maagizo yafuatayo:
deb [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org <DISTRIBUTION> main
deb-src [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org <DISTRIBUTION> main
Kama unataka kujaribu vifurushi majaribio, ongeza hii in addition katika mstari kutoka juu:
deb [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-experimental-<DISTRIBUTION> main
deb-src [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-experimental-<DISTRIBUTION> main
Au ujenzi wa usiku:
deb [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-nightly-main-<DISTRIBUTION> main
deb-src [signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-nightly-main-<DISTRIBUTION> main
Badili <DISTRIBUTION>
kwa mfumo wako wa uendeshaji codename. Run lsb_release -c
or cat /etc/debian_version
kwa kuangalia toleo la mfumo wa uendeshaji.
Kumbuka: Ubuntu Focal hutoa msaada kwa 32-bit, kwa hiyo tumia inapobidi:
deb [arch=<ARCHITECTURE> signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org focal main
deb-src [arch=<ARCHITECTURE> signed-by=/usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org focal main
Badili <ARCHITECTURE>
na usanifu wa mfumo wako (uliupata mapema kwa kuandikadpkg --print-architecture
).
Warning symptom when running sudo apt update
:
Skipping acquire of configured file 'main/binary-i386/Packages' as repository 'http://deb.torproject.org/torproject.org focal InRelease' doesn't support architecture 'i386'
3. Install GnuPG if not already installed:
# apt install gnupg
4. Then add the gpg key used to sign the packages by running the following command at your command prompt:
# wget -qO- https://deb.torproject.org/torproject.org/A3C4F0F979CAA22CDBA8F512EE8CBC9E886DDD89.asc | gpg --dearmor | tee /usr/share/keyrings/deb.torproject.org-keyring.gpg >/dev/null
5. Install tor and tor debian keyring
Tunatoa vifurushi vya Debian kukusaidia uendelee kutumia ufunguo wetu wa kusaini. Inashauriwa kuutumia. Isasishe kwa command ifuatayo:
# apt update
# apt install tor deb.torproject.org-keyring
Je, ninaweza kutumia Tor kutoka katika hazina ya Ubuntu?
Hapana Usitumia kifurushi katika Ubuntu's universe. Kipindi cha nyuma kidogo hazikuwa zimesasisha kwa uhakika. Hii ikimaanisha imepungukiwa na uimara na marekebisho ya usalama. Badala yake, tafadhali tumia Tor Debian repository.