Ndio, utaweza kutokujulika vizuri dhidi ya mashambulizi fulani.
Mfano mrahisi ni mshambuliaji ambaye ana idadi ndogo ya Tor relays.
Wataona muunganisho kutoka kwako, lakini haitaweza kutambau kama muunganiko uliotokea kwenye kompyuta yako au ulichelewa kutoka kwa mtu mwingine.
Kuna baadhi ya masuala ambayo hayaonekani kusaidia, Ikiwa mshambuliaji ataangalia usafirishwa wako wa data za kutoka na kuingia, hapo ni rahisi kwao kujifunza muunganiko umbao ulichelewa ambao unakaribia kuanza.
(Katika suala hili haziwezi kuendelea kujua mwisho wako isipokuwa wakiwa wanakuangalia, lakini wewe sio mzuri zaidi ungekuwa mteja wa kawaida.)
Pia kuna baadhi ya hasara ya kutumia Tor relay.
Kwanza, wakati tuna relay mia chache tu, ukweli ni kwamba wakati unatumia mtu anaweza kuashiria kuwa mashambulia ambayo umeyaweka katika thamani kubwa ya kutokujulikana kwako.
Halafu, kuna mashambulizi zaidi esoteric ambayo bado hayajaeleweka vizuri au hayajapimwa vizuri ambayo hujumuisha matumizi ya maarifa katika kutumia relay -- kwa mfano, mshambuliaji anaweza "kuangalia" kama umetuma data hata kama hawawezi kuutazama mtandao wako, kwa ushafirishwa wa relay kupitia Tor relay yako na kugundua mabadiliko katika muda wa usafirishwaji wa data.
Ni swalai la tafiti lililowazi kama manufaa yanazidi hatari.
Mengi zaidi ambayo hutegemea shambulio ambalo unaliogopa.
Kwa watumiaji wakuu, tunafikiria ni hatua nzuri.