Ikiwa upatikaji wako wa mtandao haujadhibitiwa, unapaswa kuzingatia kusanikisha na kuboresha Snowflake ili kuwasaidia watumiaji katika udhibiti wa mtandao. Unapoendesha Snowflake kwenye kivinjari chako cha kawaida, utakuwa na proksi ya trafiki kati ya watumiaji waliodhibitiwa na nodi ya kuingia kwenye mtandao wa Tor na hiyo ndiyo yote.

Kwa sababu ya udhibiti wa seva za VPN katika baadhi ya nchi tunakuomba usiendeshe proksi ya snowflake wakati umeunganishwa kwenye VPN.

Ongeza-katika

Kwanza hakikisha unawezesha WebRTC. Halafu unaweza kusanikisha hii uenezi wa Firefox au uenezi wa Chrome ambayo itakufanya wewe kuwa Snowflake proxy. Pia inaweza kukutaarifu kuhusu watu wangapi uliwasaidi katika masaa 24 yaliyopita.

Kurasa ya tovuti

Katika browser ambapo WebRTC imewezeshwa: If you don't want to add Snowflake to your browser, you can go to embed-snowflake.torproject.org and toggle the button to opt in to being a proxy. Huwezi kufunga kurasa kama unataka kubakiza Snowflake proxy.