Unapoboresha rilei yako ya Tor au kuisogeza kwenye kompyuta tofauti, hakikisha kuweka ufunguo za utambulisho sawa (zilizohifadhiwa kwenye keys/ed25519_master_id_secret_key
na keys/secret_id_key
kwenye DataDirectory yako).
Ikiwa wewe ni mwendeshaji wa kiungo hakikisha pia kuwa umeweka pt_state/
. Ina data inayohitajika ili kiungo chako kiendelee kufanya kazi na njia ile ile ya kiungo.
Kwa urahisi,kunakili tu juu ya DataDirectory nzima inapaswa kufanya kazi pia.
Unaweza kutaka kuweka nakala rudufu za funguo hizi za utambulisho, pamoja na pt_state kwa kiungo, ili uweze kurejesha rilei ikiwa kitu kitaenda vibaya.
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
JIANDIKISHE KUPOKEA JARIDA LETU
Pata taarifa na fursa za kila mwezi kutoka Tor Project:
SEARCH
Trademark, copyright notices, and rules for use by third parties can be found in our Trademark and Brand policy.