Unapo peruzi Onion Service, Tor Browser huonyesha aina tofauti za alama za onion kwenye anwani ya bar ikionyesha ulinzi wa ukurasa wa tovuti wa sasa.
Onion inamaanisha:
- Onion Services inatolewa na HTTP, au HTTPS ikiwa na cheti ya CA.
- Onion Services inatolewa na HTTPS na cheti kilichosainiwa chenyewe.
Onion ikiwa na mkwaju mwekundu humaanisha:
- Onion Service hutolewa na muongozo kutoka kwenye URL isiyo na ulinzi.
Onion ikiwa na alama ya tahadhari humaanisha:
- Onion Service hutolewa na HTTPS ikiwa na cheti kilichoisha muda wake.
- Onion Service inatolewa na HTTPS katika kikoa kisicho sahihi.
- Onion Service hutolewa na mchanganyiko wa URL isiyo salama.