Firefox / Firefox

Mozilla Firefor ni chanzo cha bure na open source web browser iliyotengenezwa na Mozilla Foundation na kampuni yake tanzu ya shirika la Mozilla. Tor Browser imetengenezwa kutoka katika toleo lililoboreshwa la Firefox ESR (Extended Support Release). Firefox inapatikana katika Windows, macOS na Linux operating systems, ikiwa na toleo la simu linalopatikana katika Android na iOS.