bridge-moji / Kiungo-moji
Ufupisho wa alama nne ambao unaweza kutumika kutambua anwani sahihi ya bridge kwa mtazamo mmoja.
Bridge-mojis ni vitambulisho vya bridge vinavyoweza kusomeka na binadamu na hufanyasiyohuwakilisha ubora wa mawasiliano katika mtandao wa Tor au hali ya bridge.
Mfululizo wa alama haziwezi kutumika kama mahitaji. Watumiaji wanahitaji kutoa anwani ya bridge iliyokamilika ili waweze kuunganishwa na bridge.