cookie / cookie

HTTP cookie (also called web cookie, Internet cookie, browser cookie or simply cookie) ni kipande kidogo cha data kilichotuma kutoka kwenye tovuti na kuhifadhiwa katika kompyuta ya mtumiaji kwa web browser ya mtumiaji wakati mtumiaji anavinjari mtandaoni. Kwa asili yake, Tor Browser haihifadhi vidakuzi.