end-to-end encrypted / mawasiliano yaliyosimbwa moja kwa moja

Data zilizosambazwa ambazo zimesimbwa moja kwa moja kutoka sehemu halisia hadi mwisho huitwa mawasiliano yaliyosimbwa moja kwa moja. Hii husaidia kuhakikisha data au ujumbe uliotumwa ni wa kusomwa pekee katika upande wa kupokea na kutuma.