Flash Player / Flash Player

Flash Player ni browser pluginn kwenye mtandao applicationskwa kusikiliza maudhui ya sauti na video. Hupaswi kamwe kuwezesha Flash ili itumike katika Tor browser kama si salama. Huduma nyingi zinazotumia Flash pia hutoa mbadala wa HTML, ambazo zinapaswa kufanya kazi katika [Tor Browser].