hamburger menu / Menu ya machaguo ya kujificha

Ni icon yenye mistari wa mlalo kawaida ipo kwenye kona ya kushoto juu au kona ya kulia juu ya kioo cha mbele. Kwa kubofya au kubonyeza kwenye icon, inaonesha menu iliyo na chaguo au kurasa za ziada.

Marejeo: https://en.wikipedia.org/wiki/Hamburger_button

hamburger-menu