network censorship / udhibiti wa mtandao

Mara nyingine kufikia moja kwa moja kwenye Tor network huzuiwa na Mtoa huduma za mtandao (ISP) au na serikali. Tor Browser hujumuisha baadhi ya vifaa vya udhibiti kwa kuzunguka vizuizi hivi, ikijumuisha bridges, pluggable transports, na GetTor.