NoScript / NoScript

Kivinjari cha Tor inajumuisha add-on inayoitwa NoScript inayofikiwa kwa kubofya menyu ya hamburger ("≡") iliyo upande wa juu kulia ya skrini kisha kuelekea kwenye "Add-ons and themes". NoScript hukuruhusu kuisimamia JavaScript inayojiendesha katika kurasa binafsi ya tovuti, au kuzuia kabisa.