operating system (OS) / Mfumo wa uendeshaji (OS)

Mfumo mkuu wa programu unaosimamia vyanzo vya vifaa na programu za kompyuta na hutoa huduma kuu kwa programu za kompyuta. Mifumo ya kompyuta ya mezani inayotumika zaidi ni Windows, macOS na Linux. Android na iOS ni mifumo mikuu ya uendeshaji wa simu.