Tails / Tails

Tails inaishi mfumo wa undeshaji ambayo unaweza kuanza kwa kila kompyuta kwa ujumla kutoka DVD,USB stick, au kadi ya SD. nia yake ni kulinda faragha na kutojulikana. Jifunze zaidi kuhusu Tails.