BridgeDB hutekeleza njia 6 za utaratibu katika kusambaza bridges: HTTPS, Moat, Email, Telegram, Settings na Reserved. Waendeshaji wa Bridge wanaweza kuangalia njia zipi za kutumia bridge zao, katika Relay Search. Ingiza bridge's <HASHED FINGERPRINT> katika aina na bofya "Search".

Muendeshaji unaweza pia kuchagua njia ipi ya usambazaji kwa watumiaji wake wa bridge. Kubadili njia, boresha BridgeDistribution setting in the torrc file to one of these: https, moat, email, telegram, settings, none, any.

Soma zaidi juu ya muongozo wa Bridges post-install.