Tor ina msaada kwa sehemu ya IPv6 na tunawahimiza kila muendeshaji wa relay ku wezesha utendaji wa IPv6 katika torrc faili zake usanidi wakati muunganisho wa IPv6 unapatikana. Kwa sasa Tor inahitaji anwani za IPv4 katika relays, huwezi kutumia Tor relay katika kumiliki anwani pekee za IPv6.