Historia ya kivinjari ni rekodi ya maombi yaliyofanywa wakati wa kutumia web browser, na inajumuisha habari kama tovuti zilizotembelewa na wakati ulipotembelea.
Tor Browser hufuta historia yako ya kuvinjari baada ya kufunga session yako.
Kutanguliza kikoa ni mbinu ya udhibiti ambayo hufunika tovuti unayotaka kujiunganisha nayo.
Kwa mtazamo wa udhibiti, inaonekama kama umeunganishwa katika huduma kuu ambayo itakuwa gharama kwa kidhibiti kuzuia, kama Microsoft au Google.
Hata hivyo, haiwezi kufanya kutokujulikana, au kukamilisha kuficha unakoenda kama Tor Browser inavyofanya.
kwa taarifa zaidi angalia hii blogpost about domain fronting.
Spelling notes: Hakuna haja ya kuweka herufi kubwa.
Translation notes: Unaweza kutafsiri neno hili kama litasikika vyema katika lugha yako.
"Tor log" ni orodha iliyoanzishwa moja kwa moja ya shughuli za Tor ambayo inaweza kusaidia kutambua matatizo.
Ikiwa kitu kimeenda vibaya katika Tor, unaweza kuona chaguo na ujumbe makosa kwa "copy Tor log to clipboard".
Unapaswa kuona chaguo la nakiri kumbukumbu zako kwenye ubao wa nakiri, ambao unaweza kunakilisha katika nyaraka ili kuonesha ambaye amekusaidi katika kupata suluhu.
kama huoni chaguo na unayo Tor Browser fungua, unaweza kuperuzi kwa menyu iliojificha ("≡", halafu bofya "setting", mwishowe "connection" kwa sehemu ya pembeni.
Chini katika kurasa, pembeni ya maandishi ya "View the Tor logs", bofya kitufe cha "View Logs...".