bridge / Kiungo

Kama relay za kawaida za Tor relays bridges pia huendeshwa na wanaojitolea; lakini tofauti na relay za kawaida, hazitangazwi kwa umma, hivyo adui hawezi kuzitambua kwa urahisi. pluggable transports ni aina ya bridges ambazo zinasaidia kuficha ukweli kuwa unatumia Tor.