browsing history / Historia ya kuvinjari

Historia ya kivinjari ni rekodi ya maombi yaliyofanywa wakati wa kutumia web browser, na inajumuisha habari kama tovuti zilizotembelewa na wakati ulipotembelea. Tor Browser hufuta historia yako ya kuvinjari baada ya kufunga session yako.