Captcha / Captcha

Captchas ni jaribio la kukabiliana na changamoto linalotumika katika kuendesha kompyuta ili kutambua kama mtumiaji ni binadamu au la. Watumiaji wa Tor mara nyingi huhifadhi Captchas kwa sababu Tor relays hufanya maombi mengi ambayo muda mwingine tovuti huwa na wakati mgumu wa kutambua kama maombi hayo yamekuja kutoka kwa binadamu au roboti.

Spelling notes:

Andika herufi kubwa ya kwanza pekee, kama Captchas sasa inachukuliwa kuwa ni nomino