domain fronting / Kitangulizi kikoa

Kutanguliza kikoa ni mbinu ya udhibiti ambayo hufunika tovuti unayotaka kujiunganisha nayo. Kwa mtazamo wa udhibiti, inaonekama kama umeunganishwa katika huduma kuu ambayo itakuwa gharama kwa kidhibiti kuzuia, kama Microsoft au Google. Hata hivyo, haiwezi kufanya kutokujulikana, au kukamilisha kuficha unakoenda kama Tor Browser inavyofanya. kwa taarifa zaidi angalia hii blogpost about domain fronting.

Spelling notes:

Hakuna haja ya kuweka herufi kubwa.

Translation notes:

Unaweza kutafsiri neno hili kama litasikika vyema katika lugha yako.