F-Droid / F-Droid

F-Droid ni saraka ya FOSS (free and open source software) programu tumizi ya Android. Kama vile Google Play mtu anaweza kuvinjari, kusanikisha na kufuatilia masasisho kwenye kifaa kwa kutumia F-Droid. Tor Browser inapatikana katika F-Droid. Fuata [hatua] hizi (https://tb-manual.torproject.org/mobile-tor/) kama ukipenda kusasisha program tumizi kuitia F-Droid.