guard / guard

relayy ya kwanza katika Tor circuit, isipokuwa kutumia bridge.Wakati wa kutumia bridge, Bridge huchukua nafasi ya guard. Kujifunza zaidi kuhusu aina za rilei tafadhali soma Ulinzi wa Kuingia ni nini?