internet service provider (ISP) / Mtoa huduma ya mtandao (ISP)

Mto huduma za mtandao (ISP) ni shirika linalotaoa huduma ya kufikia na kutumia mtandao. Wakati unatumia Tor Browser, mtoa huduma wako wa mtandao (ISP) haoni ni mtandao gani unatembelea.