onion services / onion services

Onion services (zamani zilikuwa zinajulikana kama “hidden services”) ni huduma (kama za tovuti) ambazo zinapatikana kupitia Tor network. Onion services hutoa faida na huduma za kawaida katika tovuti isiyo binafsi, ikiwemo: Kuficha eneo, uthibitisho wa moja kwa moja, kusimba moja kwa moja, na NAT punching.