The Guardian Project / The Guardian Project

The Guardian Project ni kundi la watengeneza programu, wanaharakati na wabunifu ambao vitu rahisi kutumia, salama, vyanzo huru vya programu tumizi na uboreshaji wa mfumo wa uendeshaji. Programu ya Orbot hutolewa na mradi wa Gurdian husaidia kutengeneza njia za programu tumizi zingine katika kifaa chako cha Android na mtandao wa Tor.