third-party tracking / kufuatilia isiyohusika moja kwa moja

Tovuti nyingi hutumia huduma nyingi za mifumo isiyohusika moja kwa moja, ikiwemo vifuatiliaji vya matangazo na uchambuzi, ambazo hukusanya data kuhusu IP address yako, web browser, system na tabia za kivinjari chako pekee, ambazo zote huunganisha shughuli zako kupitia tovuti mbalimbali. Tor Browser huzuia shughuli hizi nyingi zinazotokea.