Tunataka kila mtu aweze kuifurahia Tor Browser katika lugha zao. Tor Browser sasa inapatikana kwa lugha 37 tofauti, na tunaendelea kuogeza zaidi.

Orodha yetu mpya ya lugha saidizi ni:

Lugha
ﻉﺮﺒﻳﺓ (ar)
Català (ca)
česky (cs)
Dansk (da)
Deutsch (de)
Ελληνικά (el)
English (en)
Español (es)
ﻑﺍﺮﺴﯾ (fa)
Français (fr)
Gaeilge (ga-IE)
עברית (he)
Magyar nyelv (hu)
Indonesia (id)
Islenska (is)
Italiano (it)
日本語 (ja)
ქართული (ka)
한국어 (ko)
lietuvių kalba (lt)
македонски (mk)
ﺐﻫﺎﺳ ﻡﻼﻳﻭ (ms)
မြမစ (my)
Norsk Bokmål (nb-NO)
Nederlands (nl)
Polszczyzna (pl)
Português Brasil(pt-BR)
Română (ro)
Русский (ru)
Shqip (sq)
Svenska (sv-SE)
ภาษาไทย (th)
Türkçe (tr)
Український (uk)
Tiếng Việt (vi)
简体中文 (zh-CN)
正體字 (zh-TW)

Unataka kutusaidia kutafsiri? Kuwa mtafsiri wa Tor!

Pia unaweza kutusaidia kupima lugha zinazofuata tutakazotoa, kwa kusakinisha na kupima toleo la Alpha la Tor Browser.