Hapana, hupaswi kuamini mtandao kuchagua mtandao. Relays hatarishi zinaweza kukupitisha kwa marafiki zako wanaoshirikiana. Hii itampatia uwezo adua kuangalia usafirishaji wako wa data mwisho hadi mwisho.