Hapana Usitumia kifurushi katika Ubuntu's universe. Kipindi cha nyuma kidogo hazikuwa zimesasisha kwa uhakika. Hii ikimaanisha imepungukiwa na uimara na marekebisho ya usalama. Badala yake, tafadhali tumia Tor Debian repository.