bandwidth authority / Mamlaka ya kiwango cha usafirishaji wa data

Ili kubaini uwezo wa uhamishaji wa habari wa relay, relay maalum zinazoitwa mamlaka ya upana wa njia hufanya vipimo mara kwa mara kwa relays kwenyeconsensus.