JavaScript / JavaScript

JavaScript ni lugha ya kutengenezea programu ambayo tovuti hutoa vipengele vinavyo wasiliana kama vile video, animation, sauti, na hali ya kipindi. Kwa bahati mbaya, JavaScript pia huwezesha mshambuliaji katika usalama wa web browser, ambayo hupelekea taarifa za mtumiaji kutambulika. NoScript extension katika Tor Browser huweza kutumika kusimamia JavaScript katika tovuti mbalimbali.