Orfox / Orfox

Orfox ilitolewa kwa mara ya kwanza tarehe 23 Septemba 2015 na Mradi wa Guardian. Kwa muda wa miaka mitatu iliyofuata, Orfox iliendelea kuboreshwa na kuwa njia maarufu ya watu kuvinjari intaneti kwa faragha zaidi kuliko vivinjari vya kawaida, na Orfox ilikuwa muhimu kwa kusaidia watu kukwepa udhibiti na kufikia tovuti zilizozuiwa na rasilimali muhimu. Ilisakinishwa zaidi ya mara milioni 14 na kudumishwa na zaidi ya watumiaji milioni 1 watendaji.

Orfox haidumishwi tena wala kufadhiliwa.. Imebadilishwa na Kivinjari cha Tor ya Android. Soma zaidi kuhusu Orfox.

Translation notes:

Do not translate this application name.