self-authenticating address / Anwani ya uthibitishwaji binafsi

Muundo wa anwani maalum wa onion addresses ni uthibitishaji binafsi. Mpangilio huhakikisha kuwa anwani ya onion imefungwa kwenye funguo inayotumika kulinda mawasiliano katika onion site. Majina ya kawaida ya kikoa cha mtandao yanahitaji wamiliki wa tovuti kuamini na kuidhinishwa na Mamlaka ya cheti (CA) kwa mshikamano huu, na yakiwa yanataka kutekwa na CA na kwa kawaida kwa sehemu nyingine nyingi.