Tor inaweza kushughulikia relays na anwani za IP zinazo badilika kwa ufasaha. Acha tu mstari wa "Anwani" uliowazi katika torrc, na Tor itabashiri.