uunganisho wote unaotoka lazima iruhusiwe, hivyo kila relay inaweza kuwasiliana na relay nyingine kila siku.

Katika mahakama nyingi, waendeshaji wa Tor relay wamelindwa kisheria kwa miongozo sawa ambayo huzuia watoa huduma za mtandao kuweza kupata maudhui ambayo hupita kupitia mtandao wao. Exit Relay ambazo zinachuja baadhi ya peruzi inaendana na ulinzi wote.

Tor hutoa upatikananji wa mdandao bure bila muingiliano. Relay za Kutoka hazipaswi kufanya uchujaji wa usafirisshaji wa data inayopita kupitia kwao kwenda mtandaoni. Matokeo ya uchunguzi yanapoonyesha ya kwamba mtandao wa Exit umepunguza kasi ya usafirishaji wa data wa BadExititawekwa kwenye kituo hicho mara baada ya kugunduliwa.