• Exit relay ni aina ya relay inayohitajika zaidi pia inakuja na hatari kubwa ya kisheria (na hutakiwi kutumia kwenye simu yako).
  • Kama unataka kutumia relay kwa nguvu ndogo, guard relay haraka pia ni muhimu sana
  • Inafuatiwa na bridge.