Bookmarks in Tor Browser can be exported, imported, backed up, restored as well as imported from another browser. Ili kuweza kusimamia vialamisho vyako kwenye Tor Browser, nenda kwa:

 • Menyu iliojificha>>alamisho>>simamia alamisho (chini ya menyu)
 • Kutoka kwenye sehemu ya machaguo kwenye dirisha la Maktaba, bonyeza 'Ingiza na Hifadhi'

Makadirio sahihi ya Tor Browser na bookmarks

 • hamisha vilalamisho kwenye HTML
 • "- -- Katika dirisha la Faili ya Kutoa Vialamisho inayofunguliwa, chagua eneo la kuhifadhi faili, ambayo kwa chaguo-msingi inaitwa bookmarks.html. kompyuta ya mezani kawaida ni mahali pazuri, lakini mahali popote rahisi kukumbuka litafanya kazi.
 • Bonyeza kitufe cha Hifadhi. window ya kuweka Faili ya Alamisho litafungwa.
 • Funga maktaba ya window.

Vialamisho vyako kwa sasa vimefanikiwa kutoka Tor Browser. Faili la HTML la alamisho ulilohifadhi limekamilika sasa na linaweza kuagizwa kwenye kivinjari kingine cha wavuti.

kama unahitaji kuweka bookmark

 • ingiza alamisho kwa HTML
 • Ndani ya window ya kuingiza vialamisho linalofunguka, nenda kwenye faili ya HTML ya vialamisho unavyoingiza na uichague faili.
 • -Bonyeza kitufe cha Kufungua. Dirisha la Uingizaji wa Faili ya Alamisho litafungwa.
 • Funga maktaba ya window.

vialamisho vilivyochaguliwa kwenye faili la HTML itaongezwa kwenye Tor Browser yako kuhusiana na Bookmarks menu directory.

kama utahitaji kurudisha upya

 • Chagua Backup
 • window mpya itafunguka na unatakiwa kuchagua eneo kuhifadhi faili. liwe na .jsonextension.

kama unahitaji kuhifadhi tena

 • Chagua Rudisha na kisha chagua faili ya alamisho unayotaka kurejesha.
 • Bonyeza sawa kwenye kisanduku cha pop-up kinachoonekana na haraka, umeweza kurejesha alamisho lako la kurasa ulilolihifadhi.

"kuingiza data kutoka kivinjari kingine

Vialamisho vinaeza kusafirishwa kutoka firefox na Tor Browser. kuna njia mbili za kuingiza na kutoa vialamisho kwenye firefox: HTMLfile au faili la JSON. Baada ya kutoa data kutoka kwenye kivinjari chako, fuata hatua zilizotajwa hapo juu kuagiza faili ya alamisho kwenye kivinjari chako cha Tor Browser.

Tahadhari: Kwa sasa, kwenye Tor Browser kwa Android, hakuna njia nzuri ya kusafirisha na kuingiza alamisho. Kosa #31617