circuit / sakiti

Njia ya kupitia Tor network hutengeneza na clients ikikusanya node zilizochaguliwa bila mpangilio. circuit huanza na bridge au guard. circuit nyingi imekusanya node tatu - a guard au bridge, middle relay, na exit. Huduma nyingi za onion services ambazo hutumia idadi ya njia za circuit (isiyokuwa na single onion services), na haina exit node. Unaweza kutizamana Tor circuit yako ya sasa kwa kubonyeza kwenye [i] katika sehemu ya kuandikia URL.