HTTPS Everywhere / HTTPS Everywhere

HTTPS Everywhere ni Firefox, Chrome, and Opera extension ambayo huifanya HTTPS kuwa chaguo msingi kwenye tovuti ambayo inapanga HTTPS lakini hawajaifanya kuwa chaguo la msingi. HTTPS Everywhere husanikishwa katika Tor Browser kwenye Android.

Tangu Tor Browser 11.5, HTTP-hali pekee iliyowezeshwa na chagu msingi katika kompyuta ya mezani, na HTTPS Everywhere haijaunganishwa tena na Tor Browser.