Tor Messenger / Tor Messenger

Tor Messenger lilikuwa jukwaa la mawasiliano ya ujumbe ambalo lililenga kuwa salama kwa watumiaji na kutuma data inayosafirishwa na Tor. Tor Messenger haifanyiwi maboresho zaidi. Inaziunga mkono Jabber (XMPP), IRC, Google Talk, Facebook Chat, Twitter, Yahoo, na zinginezo; huwezesha Ujumbe usio na Rekodi (OTR) kiotomatiki; na inarahisisha matumizi kati ya programu zilizo katika uso wa mbele wa kompyuta zilizosanidiwa kwa wingi.