Unaweza kuendesha relay kwa kuzingatia mafunzo yafuatayo:

Unaweza kuendesha kompyuta ya relay kama unaweza kuiendesha kwa 24/7. Ikiwa huwezi kuhakikisha hilo, snowflake ni njia nzuri zaidi ya kuwasilisha rasilimali zako kwenye mtandao wa Tor.