Tunatafuta watu wenye uunganisho wa mtandao wa intaneti ambao ni wa kuaminika kwa kiwango cha wastani na angalau wana upana wa usafirishaji wa data wa Mbit/s 10 kila upande. Ikiwa wewe ni mmoja wao, tafadhali fikiria kuanzisha kituo cha running a Tor relay.

Hata kama hauna angalau 10mbit/sya kiwango cha data inayopatikana bado unweza kusaidia mtandao wa Tor kwa kuendesha Tor bridge with obfs4 support. kwa hilo suala, bado unatakiwa kuwa na angalau 1MBit/s ya kiwango cha data inayopatikana.