Exit inapo sanidiwa vibaya au hasidi inapoingia kwenye bendera mbaya ya Exit. Hii uiambia Tor kuzuia kutoka kupitia relay hio. Katika athari, relay ya bendera hii huwa hazitoki. Kama umepata bendera hii huenda tumegundua tatizo au shughuli za mashaka pale unapoperuzi kutumia exit yako na hatuwezi kuwasiliana na wewe. Tafadhali watafute timu ya relay mbaya ili tuweze kutatua tatizo.