Snowflake / Snowflake

Snowflake ni pluggable transport ambayo husaidia kukwepa udhibiti na upatikana mtandao huru na wa bure. Vipengele hivi vitatu; Mtumijai wa Snowflake, proxy ya Snowflake (zote mbili kwa pamoja kama makundi ya Snowflake) na wakala. Snowflake huweza kuruhusu kurasa kivinjari iliyofunguka kujifanya kama Tor bridge ya muda mfupi. Ili uweze kuzuia proxy iliyozuiliwa anwani ya IP, Snowflake inahusisha namba kubwa ya proxies zinazojitolea, ambayo pia inawafanya kuwa ngumu kuibainisha.