Tor log / Kumbukumbu za Tor

"Tor log" ni orodha iliyoanzishwa moja kwa moja ya shughuli za Tor ambayo inaweza kusaidia kutambua matatizo. Ikiwa kitu kimeenda vibaya katika Tor, unaweza kuona chaguo na ujumbe makosa kwa "copy Tor log to clipboard". Unapaswa kuona chaguo la nakiri kumbukumbu zako kwenye ubao wa nakiri, ambao unaweza kunakilisha katika nyaraka ili kuonesha ambaye amekusaidi katika kupata suluhu.

kama huoni chaguo na unayo Tor Browser fungua, unaweza kuperuzi kwa menyu iliojificha ("≡", halafu bofya "setting", mwishowe "connection" kwa sehemu ya pembeni. Chini katika kurasa, pembeni ya maandishi ya "View the Tor logs", bofya kitufe cha "View Logs...".