Kivinjari cha Mullvad ni huru na programu ya open-source inayounganisha kwenye intaneti (Ikiwa unaitumia kwa pamoja na VPN ya Mullvad) kupitia vichuguu vya VPN zilizosimbwa na seva za VPN za Mullvad. Unaweza kuitumia bila au na VPN yeyote, lakini unapaswa kuhakikisha kutumia VPN ya mtoa huduma unayemuamini. Tofauti na njia ambazo vivinjari vyote huunganisha watumiaji kwenye mtandao (Mtandao wa Tor vs Muunganisho wa VPN ya kuaminika) Tofauti kati ya vivinjaro vyote ni dogo na hutokea kwa upendeleo wa mtu binafsi na hutumika katika suala la mtumiaji wa mwisho.

Faida ya kuunganisha mtandao kwa intaneti kwa kutumia mtandao wa Tor viipengele mbalimbali maalum vya Tor vimeunganishwa karibu na kivinjari chetu ambavyo kivinjari cha Mullvad havitoi huduma hizo,ikijumuisha:

  • Kutengwa na kuunganishwa kwa utambulisho mpya wa Circuit
  • Kufikia Onion Services (kama vile onionstes, Kuelekeza kwingine kwa Onion-Location, uthibitishaji wa onion, na Ushirikiano wa SecureDrop)
  • Kujenga ukwepaji wa udhibiti wa mtandao na UX ya kipekee katika mpangilio wa mtandao wa Tor Browser na connection assist

Dhumuni letu katika ushirikiano huu ni kutoa zaidi chaguo kwa faragha mtandaoni (kwa mfano kupunguza matumizi ya fingerprinting na kujaribu kuzuia uwezo wa kupata anwani) kwa watumiaji wa viwango vyote.