Browser ya Mullvad

Kivinjari cha Mullvad ni Kivinjari cha Tor bila ya kutumia mtandao wa Tor - inayoruhusu mtu yeyote kupata faida ya vipengele vyote vya faragha vilivyotengenezwa na Tor. Kama watu wanahitaji kuunganisha kivinjari na VPN wanayoiamini, wanaweza kufanya hivyo kwa urahisi.

Usanidi wa Kivinjari 'out-of-the-box' na mpangilio itaacha vigezo na vipengele vilivyotumiwa kutoa taarifa kutoka kifaa cha mtu, ikiwemo aina za maneno, maudhui yanayotolewa, na APIs za kawaida za vifaa. Moja kwa moja, Kivinjari cha Mullvad kina hali binafsi ya kuwezeshwa, kwa kuzuia wafuatiliaji na wadakuzi wasiohusika kabisa.

Kivinjari ni huru na open-source na kimeundwa na Tor Project kwa ushirikiwa wa Mullvad VPN. Inasambazwa na Mullvad na itapakuliwa katika tovuti.

Kivinjari cha Mullvad ni huru na programu ya open-source inayounganisha kwenye intaneti (Ikiwa unaitumia kwa pamoja na VPN ya Mullvad) kupitia vichuguu vya VPN zilizosimbwa na seva za VPN za Mullvad. Unaweza kuitumia bila au na VPN yeyote, lakini unapaswa kuhakikisha kutumia VPN ya mtoa huduma unayemuamini. Tofauti na njia ambazo vivinjari vyote huunganisha watumiaji kwenye mtandao (Mtandao wa Tor vs Muunganisho wa VPN ya kuaminika) Tofauti kati ya vivinjaro vyote ni dogo na hutokea kwa upendeleo wa mtu binafsi na hutumika katika suala la mtumiaji wa mwisho.

Faida ya kuunganisha mtandao kwa intaneti kwa kutumia mtandao wa Tor viipengele mbalimbali maalum vya Tor vimeunganishwa karibu na kivinjari chetu ambavyo kivinjari cha Mullvad havitoi huduma hizo,ikijumuisha:

  • Kutengwa na kuunganishwa kwa utambulisho mpya wa Circuit
  • Kufikia Onion Services (kama vile onionstes, Kuelekeza kwingine kwa Onion-Location, uthibitishaji wa onion, na Ushirikiano wa SecureDrop)
  • Kujenga ukwepaji wa udhibiti wa mtandao na UX ya kipekee katika mpangilio wa mtandao wa Tor Browser na connection assist

Dhumuni letu katika ushirikiano huu ni kutoa zaidi chaguo kwa faragha mtandaoni (kwa mfano kupunguza matumizi ya fingerprinting na kujaribu kuzuia uwezo wa kupata anwani) kwa watumiaji wa viwango vyote.

Unapaswa kutumia Kivinjari cha Mullvad ikiwa unatizama faragha ya kuwezesha utatuzi wa kivinjari katika kukuunganisha katika VPN unayoiamini. Ni mpangilio wa moja kwa moja na vipengele zilivyokusudiwa kupambana na ufuatiliaji wa watu wengi, kutumia kundi la data ili kutambua zinavyohusiana na ufuatiliaji wake, au faragha zingine za ukiukwaji ambazo hutumiwa na makampuni makubwa ya teknolojia.

Wakati Kivinjari cha Mullvad kinatoa ulinzi sawa wa faragha katika Kivinjari cha Tor, Inafaa zaidi katika aina ya tishio la ufuatiliaji mkubwa wa mashirika na makampuni makubwa.

Tofauti na vivinjari vingine katika soko, Mtindo wa biashara ya kivinjari cha Mullvad kuweka mtaji kwenye data ya tabia ya watumiaji. Mullvad hutengenza fedha zaidi kwa kuuza VPN yake, hawapo katika biashara ya kuuza data za watumiaji kutoka katika kivinjari.

Kivinjari cha Mullvad kilitengenezwa na Tor Project ambao wana rekodi iliyothibitishwa ya kujenga na kupeleka teknolojia huru na open-source ya kuhifadhi faragha kama vile Tor Browser, Onion Services, mtandao wa Tor n.k. ambazo zimewasaidia mamilioni ya watu kutoka katika jamii zilizo hatarini ambazo hutetea haki yao ya faragha na kutokujulikana mtandaoni.

Kwa maswali yeyote ya usaidizi, tafadhari tutumie barua pepe: support@mullvad.net. Msaada kwa watumiaji kwa sasa unapatikana kwa njia ya barua pepe pekee.

Mullvad imekuwa sehemu ya jumuiya ya Tor kwa miaka mingi sasa. Ni wanachama wa Shallot wa (daraja la juu zaidi la uwanachana) wa Programu ya wanachama wa Tor Project na wamekuwa wanachama waanzilishi wa Programu ya wanachama wa Tor Project.

Kipindi Mullvad alipotukaribia tutengeneze kivinjari kwa pamoja, tulikubaliana nae kwa sababu kuna uwiano mkubwa wa thamani kati ya mashirika yetu mawili katika jitihada za kuimarisha faragha na kutengeneza teknolojia iwe inapatikana eneo kubwa zaidi na kufanya ufuatiliaaji wa watu wengi usiwezekane.

Kivinjari cha Mullvad hujaza pengo katika soko kwa wale ambao wanahitaji kuendesha kivinjari kinacholenga faragha vizuri kama vile Kivinjari cha Tor lakini kwa kutumia VPN inayoaminika badala ya kutumia mtandao wa Tor. Uhusiano huu huchangia kuwapatia watu uhuru wa kuchagua faragha katika kuperuzi tovuti huku tukipanga mpango wa biashara wa sasa wa kutumia data za watu. Inaonesha kuwa ni rahisi kuendeleza ufumbuzi wa bure wa teknolojia unaotoa kipaumbele kwa ulinzi wa faragha kwa watumiaji. Mullvad husambaza thamani sawa ndani ya faragha mtandaoni na uhuru na imetolewa kuwezesha faragha ya teknolojia kupatikana zaidi na kufanya ufuatiliaji wa watu wengi kutowezekana.

Mradi huu wa ushirikiano na Mullvad umechangia kushughulikia masuala kanuni la usimbaji wa Tor Browser na huruhusu kwa vyanzo vilivyotolewa katika kufanya maboresho muhimu ambayo hunufaisha vivinjari vya Tor na Mullvad. Kwa zaidi ya miaka miwili iliyopita, Tor Project walizindua idadi ya mipango ya kuongeza matumizi ya teknolojia zetu na kutengeneza maboresho makubwa katika matumizi ya bidhaa zetu.

Hapana, Tor Browser ipo kwa ajili hiyo. Tunatambua kwamba mamilioni ya watumiaji ulimwenguni, hujikita katika Tor Browser na masuluhisho mengine ambayo Tor Project hutoa kujiunganisha salama katika mtandao, peruzi online bila kujulikana na ukwepaji wa udhibiti. Hivyo Tor Browser itaendelea kuwepo. Kuna sababu nyingi za kuendelea kudumisha na kuboresha Tor Browser, bado ni moja ya suluhu chache ambayo inatoa kutojulikana mtandaoni kwa sababu ya utumiaji wa mtandao wa Tor. Muunganiko huu ni imara na muda mwingine moja kati ya machaguo ambayo watumiaji waliodhibitiwa na kufuatiliwa katika mikoa yao hupata mtandao bure na salama. Hii pia ni suluhusho la bure kwa wote, imefanya kuwa suluhisho nafuu kwa watu walio katika hatari.

Maendeleo ya kivinjari cha Mullvad itasaidia kuifanya Kivinjari cha Tor imara kwa sababu inaturuhusu kuendelea kushughulikia masuala ya urithi, kanuni na kurekebisha udhaifu.

Sio zote, tunaendelea kuwekeza kuboresha utumiaji wa Tor Browser, kama tulivyofanya miaka mitano iliyopita katika matoleo makubwa ambayo yalihusisha maboresho ya uzoefu wa watumiaji. Vilevile tunafanya kazi kwa bidii kuimarisha Kivinjari cha Tor kwa Android katika vipengele ya toleo la kompyuta ya mezani.

Usitawisho wa kivinjari cha Mullvad imetusaidia kushughilikia masuala ya urithi, kanuni na kurekebisha udhaifu. Haiathiri utendaji kazi wetu kwenye Tor Browser.

Miaka miwili iliyopita tulianzisha mradi wa kuifanya VPN-kama programu tumizi ambayo inaunganisha mtandao wa Tor kwa watumiaji wa Android. Tunafamu kuwa tovuti nyingi na huduma inayowaunganisha watumiaji kupitia kivinjari katika kompyuta ya mezani huwa programu tumizi wakati inatumia mtandao katika simu. Ni muhimu kwetu sisi kushughulikia suala hili kwa watu wengi dunia kote tumia kifaa cha simy pekee kuunganisha kwenye internet, hasa kwa wale waliopo mataifa ya kusini na wenye hali ya hatari. Hutoa kivinjari kinachounganishwa kwenye mtandao na VPN inayoaminika katika mtandao wa Tor ni hatua muhimu katika kutoa njia mbadala zaidi kipindi linapokuja suala la vivinjari vya bure vinavyolenga faragha na kuinufaisha Tor Browser kipindi cha mbeleni wakati "VPN-yetu kama" programu tumizi inapozinduliwa.

Hapana. Tafadhali wasiliana na usaidizi wa mtumiaji wa Kivinjari cha Mullvad kwa maswali yoyote zaidi: support@mullvad.net.

Ndio, hii ni orodha kamili ya maombi ya Browser ya Mullvad inayojitengeza kwa asili yake:

  • sasisha Browser (Mullvad) sasisho la upanuzi wa browser ya Mullvad (Mullvad)
  • DoH ya Mullvad (Mullvad)
  • NoScript/Ondoa kizuizi kwa sasisho la asili (Mozilla)
  • Vyeti na maboresho ya vikoa (Mozilla)
  • Ondoa kizuizi cha orodha ya vichungi asili (orodha mbalimbali)