Sio zote, tunaendelea kuwekeza kuboresha utumiaji wa Tor Browser, kama tulivyofanya miaka mitano iliyopita katika matoleo makubwa ambayo yalihusisha maboresho ya uzoefu wa watumiaji. Vilevile tunafanya kazi kwa bidii kuimarisha Kivinjari cha Tor kwa Android katika vipengele ya toleo la kompyuta ya mezani.

Usitawisho wa kivinjari cha Mullvad imetusaidia kushughilikia masuala ya urithi, kanuni na kurekebisha udhaifu. Haiathiri utendaji kazi wetu kwenye Tor Browser.